Isaiah 10:21-22


21 aMabaki watarudi,
Kiebrania ni Shear-Yashubu, pia 22.
mabaki wa Yakobo
watamrudia Mungu Mwenye Nguvu.

22 cIngawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani,
ni mabaki yao tu watakaorudi.
Maangamizi yamekwisha amriwa,
ni mengi tena ni haki.
Copyright information for SwhKC